SHAMIMU MWASHA

SHAMIMU MWASHA смотреть последние обновления за сегодня на .

🔴#LIVE​​​​​​​​​​​: NDUGU WAANGUA KILIO MAHAKAMANI, BAADA YA SHAMIMU MWASHA NA MUMEWE KUHUKUMIWA JELA

132293
536
507
00:13:39
31.03.2021

🔴#LIVE​​​​​​​​​​​: NDUGU WAANGUA KILIO MAHAKAMANI, BAADA YA SHAMIMU MWASHA NA MUMEWE KUHUKUMIWA JELA Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, Dar es Salaam leo Machi 31, 2021 imewahukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara Abdul Nsembo (45) na mke wake Shamimu Mwasha (41), kwa kukutwa na makosa ya kusafirisha dawa za kulevya. Nyumba yao pamoja na gari yao aina ya Land Rover Discovery zimetafishwa. Kwa upande wao Shamimu na mumewe wamesema watakata rufaa. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Hali ya SHAMIM MWASHA na Mumewe Kortini!

11566
22
7
00:02:34
27.05.2019

KESI ya MADAWA YA KULEVYA ya Blogger SHAMIM na MUMEWE Ilivyoendelea Mahakamani Leo!! leo Mei 27, 2019 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha Kesi ya kusafirisha madawa ya kulevya aina ya Heroin inayomkabili, blogger Shamim Mwasha na Mume wake Abdul Nsembo, kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kutokukamilika..... #KesiyaBloggerShamim Https://🤍youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Website: 🤍globalpublishers.co.tz FaceBook: 🤍facebook.com/globalpublishers Instagram: 🤍instagram.com/globalpublishers Twitter: 🤍twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: 🤍 Install Global App: iOS: 🤍

MUME WA SHAMIMU MWASHA AOMBA AKABIDHIWE CCTV CAMERA, ADAI AMESAHAU NENO LA SIRI

26594
46
7
00:02:29
03.09.2020

MUME WA SHAMIMU MWASHA AOMBA AKABIDHIWE CCTV CAMERA, ADAI AMESAHAU NENO LA SIRI ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Blogger SHAMIMU MWASHA Alivyoteseka Kujificha MAHAKAMANI Leo!

2299
2
3
00:02:01
10.06.2019

Blogger SHAMIMU MWASHA Alivyoteseka Kujificha MAHAKAMANI Leo! Https://🤍youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Website: 🤍globalpublishers.co.tz FaceBook: 🤍facebook.com/globalpublishers Instagram: 🤍instagram.com/globalpublishers Twitter: 🤍twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: 🤍 Install Global App: iOS: 🤍

Shamimu Mwasha na mumewe Abdul Nsembo wahukumiwa kifungo cha maisha JELA

22740
263
137
00:02:08
31.03.2021

MAHAKAMA Kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi na Makosa ya Rushwa, maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, imemhukumu blogger Shamimu Mwasha (41), na mume wake Abdul Issa Nsembo, (45) kutumikia kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine

INASIKITISHA !!! MARAFIKI WA KARIBU WA SHAMIMU MWASHA WAWATELEKEZA WATOTO !!!

34357
112
63
00:05:02
05.03.2021

#Exclusive #Originaleastmedia #Shamimu mwasha

SHAMIM MWASHA ASHINDA TUZO YA BLOGGER BORA WA MITINDO WA MWAKA

4288
9
0
00:02:16
04.12.2016

SHAMIM MWASHA ASHINDA TUZO YA BLOGGER BORA WA MITINDO WA MWAKA NA BLOG YAKE YA 8020 FASHIONS KATIKA SWAHILI FASHION WEEK 2016 UKUMBI WA MAKUMBUSHO YA TAIFA NA JUMBA LA UTAMADUNI JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 4, 2016

Blogger SHAMIM, Mumewe NSEMBO Wanaswa DAWA ZA KULEVYA/KAMISHNA aelezea

17870
46
19
00:09:47
05.05.2019

Blogger SHAMIM, Mumewe NSEMBO Wanaswa DAWA ZA KULEVYA/KAMISHNA aelezea Blogger maarufu nchini, Shamim Omary Mwasha (41) na mumewe Abdul Nsembo(45) wanashikiliwa na Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya HEROIN zenye ujazo zaidi ya gramu 400. Shamim ni miongoni mwa blogger maarufu nchini anayeendesha mtandao unaojihusisha na masuala ya urembo na mitindo wa 8020fashionsblog.co.tz Kamishna wa operesheni wa DCEA, Meja Generali Frederick Felix Milanzi, ameelezea GLOBAL TV ONLINE jinsi walivyomnasa mfanyabiashara huyo nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar es salaam. Nsembo anaaminika kuwa na mtandao mkubwa hapa nchini na nje ya nchi wa biashara hiyo... #heroin #dawazakulevya #shamimmwasha #Nsembo 🤍youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Website: 🤍globalpublishers.co.tz FaceBook: 🤍facebook.com/globalpublishers Instagram: 🤍instagram.com/globalpublishers Twitter: 🤍twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: 🤍 Install Global App: iOS: 🤍

Mkasi - SO6E12 Shamim Mwasha & Mariam

63114
113
37
00:29:50
23.09.2013

Follow MkasiTV on Facebook : 🤍 Twitter : 🤍MkasiTV

KIFUNGO CHA MAISHA: SHAMIM NA MUMEWE, ALICHOKISEMA JAJI LUVANDA MAHAKAMANI

106800
534
382
00:05:08
31.03.2021

Mfanyabiashara Abdul Nsembo na mkewe Shamim Mwasha wamehukumiwa kutumikia kifungo cha maisha gerezani baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kusafirisha na kujihusisha na dawa za kulevya aina ya Heroine gramu 232.70 Hukumu hiyo imesomwa na Jaji Elinaza Luvanda katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi baada ya mahakama hiyo kujiridhisha kuwa upande wa jamhuri ulithibitisha mashtaka dhidi Nsembo na mkewe pasipo kuacha shaka yoyote. Kabla ya kuwasomea hukumu hiyo Jaji Luvanda aliwasomea maelezo ya shauri hilo na kutupilia mbali hoja kadhaa zilizotolewa na upande utetezi wakati wa kusikiliza ushahidi wa pande zote mbili. Katika maelezo hayo Jaji Luvanda alisema kuwa katika hoja za majumuisho ya shauri hilo pande zote mbili zilitoa maelezo yake ambapo upande wa utetezi ulipingana na mambo kadhaa katika ushahidi ulioyolewa na upande wa Jamhuri.

Product Unboxing From Shamim Mwasha

7084
34
22
00:07:10
30.08.2016

zilizokupita JULY HAUL SHOE &BEAUTY PRODUCTS 🤍 MY HUBBY STYLING MY NATURAL HAIR 🤍 ONE ON ONE WITH POKELLO 🤍 ZEZETV imedhaminiwa na VODACOM #HapaKasiTu 4G yenye kasi kubwa Tanzania. JE UTAPENDA ZEZETV IFANYE TV SHOW KATIKA BIASHARA YAKO KWA AJILI YA ONLINE ? BIDHA TOKA African print beaded dress by 🤍 blue and white dress from 🤍 floral handbag from 🤍 blottingpaper from 🤍 shoes from 🤍 nail remover pads from 🤍 oriflame skin product from 🤍 i am ORIFLAME member if u wish to LOOK GREAT MAKE MONEY & HAVE FUN Just holla my contact THANKS FOR WATCH AND SUBSCRIBE TILL NEXT VIDEO CIAO CIAO!! KAMA NDIO WALIANA NASI email ::shamyomy🤍yahoo.com call ::+255 784 418941 SOCIAL MEDIA TWITTER :: 🤍 INSTAGRAM :: 🤍 FACEBOOK (FUN PAGE ) :: 🤍 BLOG :: 🤍 SNAPCHAT :: ADD ::shamim8020

OFFICIAL-SHAMIM MWASHA'S WEDDING

58149
128
44
00:10:41
23.07.2013

Produced by i-view studios Directed by Raqey Mohamed FOR BOOKING CONTACT US DIRECT THROUGH: +255784231113 OR raqeysa🤍gmail.com

SHAMIM MWASHA WEDDING

6419
10
35
00:10:41
17.06.2015

Itakutoa Machozi, Watoto Wa Shamimu Na Ndugu Walivyo Mlili Baada Ya Huku Kifungo Cha Maisha

8081
44
27
00:03:17
31.03.2021

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), imewahukumu kifungo cha maisha jela Abdul Nsembo na mkewe Shamim Mwacha baada ya kutiwa hatiani kwa kosa ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin. Aidha, mahakama hiyo imetoa amri ya kutaifisha mali za wawili hao, ikiwemo gari aina ya Discover 4 na dawa hizo zimetakiwa kuteketezwa. Wawili hao walikamatwa Mei 1, 2019, eneo la Mbezi Beach mkoani Dar es Salaam wakiwa na gramu 232.70 za dawa za kulevya aina ya heroin na kufunguliwa shauri la uhujumu uchumi namba 36 la mwaka 2019. FOLLOW US Follow on Instagram: 🤍 Follow on Facebook: 🤍

#BREAKING: SHAMIMU MWASHA NA MUMEWE WAHUKUMIWA MAISHA JELA, TAZAMA ILIVYOKUWA MAHAKAMANI...

26803
151
120
00:04:46
31.03.2021

#BREAKING: SHAMIMU MWASHA NA MUMEWE WAHUKUMIWA MAISHA JELA, TAZAMA ILIVYOKUWA MAHAKAMANI... Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, Dar es Salaam leo Machi 31, 2021 imewahukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara Abdul Nsembo (45) na mke wake Shamimu Mwasha (41), kwa kukutwa na makosa ya kusafirisha dawa za kulevya. Nyumba yao pamoja na gari yao aina ya Land Rover Discovery zimetafishwa. Kwa upande wao Shamimu na mumewe wamesema watakata rufaa. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

SHAMIM, MUMEWE WAKUTWA NA KESI YA KUJIBU MAHAKAMA YA MAFISADI "MASHAHIDI WANANE"

24005
112
31
00:04:31
02.09.2020

Mahakama Kuu Kitengo cha Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imemkuta na kesi ya kujibu Mfanyabiashara Abdul Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha wanaokabiliwa na mashitaka ya kukutwa na dawa za kulevya. Jaji Elieza Luvanda alisema upande wa mashitaka ulikuwa na mashahidi nane pamoja na vielelezo sita ili kuthibitisha mashitaka hayo. Alisema mahakama baada kupitia ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka, umeona washitakiwa Nsembo na Shamimu kuwa na kesi ya kujibu. Jaji Luvanda alipanga Septemba 3, mwaka huu (kesho) kwa washitakiwa hao kuanza kujitetea ambapo walidai watakuwa na mashahidi watatu ikiwamo wao wenyewe. Upande wa mashitaka uliwakilishwa na Wakili wa Serikali, Constantine Kakula na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Veronica Matikila vielelezo vilivyoambatanishwa kwenye kesi hiyo ni maelezo ya onyo kwa washitakiwa wote wawili, hati ya ukamataji, ripoti ya uchunguzi wa maabara ya Serikali, fomu ya kuwasilisha sampuli maabara, taarifa ya usajili wa gari kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na bahasha zilizokuwa na dawa za kulevya.

Blogger SHAMIMU MWASHA na MUMEWE Warudishwa SEGEREA Tena..

5030
7
2
00:01:34
22.11.2019

Blogger SHAMIMU MWASHA na MUMEWE Warudishwa SEGEREA Tena.. UPANDE wa mashtaka umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi inayomkabili Blogger, Shamim Mwasha (41) na mumewe, Abdul Nsembo (45) bado haujakamilika hivyo umeiomba mahakama ipange tarehe nyingine ya kusikilizwa. Hayo yameelezwa na Wakili wa Serikali, Wankyo Simon, mbele ya Hakimu Mkazi, Janeth Mtege, wakati kesi hiyo ilipoitishwa kwa ajili ya kutajwa. Wankyo amedai kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika hivyo anaomba ahirisho la kesi hiyo. Hakimu Mtega ameiahirisha kesi hiyo hadi Desemba 6 mwaka huu na washtakiwa wamerudishwa rumande. Washtakiwa wanatuhumiwa kukutwa na kusafirisha dawa za kulevya, Mei 1, 201 kinyume cha sheria. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) HABARI MPYA DAILY: 🤍 HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 GLOBAL RADIO TV: 🤍 EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍

KESI YA UHUJUMU UCHUMI : SHAMIMU MWASHA NA MUME WAKE WAHUKUMIWA MAISHA JELA

4448
11
10
00:02:44
31.03.2021

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi "Mahakama ya Mafisadi" imemuhukumu kifungo cha maisha mfanyabiashara Abdu Nsembo na mkewe Shamim Mwacha baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kujihusisha na dawa za Kulevya aina ya Heroin . Pia mahakama hiyo imetoa amri ya kutaifisha mali za wahukumiwa ikiwemo gari aina ya Discover 4 kuwa mali za Serikali, huku dawa hizo zikihitajika kutekezwa. Katika kesi hiyo namba 4 ya mwaka 2020, Hukumu imetolewa Jaji Elinaza Luvanda baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili kati ya Jamhuri na Utetezi na kujiridhisha kwamba watuhumiwa wamekutwa na hatiani katika makosa mawili ya usafirishaji dawa za Kulevya. Katika hukumu hiyo Jaji Luvanda amesema; "Ni kweli mshitakiwa namba 1 na namba 2 ni wakosaji wa kwanza na kama ilivyoelezwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi ni kwamba sheria imetoa adhabu kwa makosa haya. "Hivyo hakuna namna yoyote ya kutoa adhahu ya chini, katika kosa la kwanza wanahukumiwa kifungo cha maisha gerezani, pia katika kosa la pili pia wanahukumiwa hivyo hivyo kifungo cha maisha gerezani, hivyo adhabu mtatumikia kwa pamoja," Pia Jaji Luvanda amesema kielelezo namba 1 ambayo ni dawa za Kulevya kiteketezwe, kielelezo namba 5 ambalo ni gari aina ya Discover 4 Landrover kinataifishwa kuwa mali ya Serikali.

VILIO MAHAKAMANI: SHAMIMU NA MUMEWE NSEMBO WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA GEREZANI

43521
250
137
00:02:11
31.03.2021

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi "Mahakama ya Mafisadi" imemuhukumu kifungo cha maisha mfanyabiashara Abdu Nsembo na mkewe Shamim Mwacha baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kujihusisha na dawa za Kulevya aina ya Heroin . Pia mahakama hiyo imetoa amri ya kutaifisha mali za wahukumiwa ikiwemo gari aina ya Discover 4 kuwa mali za Serikali, huku dawa hizo zikihitajika kutekezwa. Katika kesi hiyo namba 4 ya mwaka 2020, Hukumu imetolewa Jaji Elinaza Luvanda baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili kati ya Jamhuri na Utetezi na kujiridhisha kwamba watuhumiwa wamekutwa na hatiani katika makosa mawili ya usafirishaji dawa za Kulevya. Katika hukumu hiyo Jaji Luvanda amesema; "Ni kweli mshitakiwa namba 1 na namba 2 ni wakosaji wa kwanza na kama ilivyoelezwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi ni kwamba sheria imetoa adhabu kwa makosa haya. "Hivyo hakuna namna yoyote ya kutoa adhahu ya chini, katika kosa la kwanza wanahukumiwa kifungo cha maisha gerezani, pia katika kosa la pili pia wanahukumiwa hivyo hivyo kifungo cha maisha gerezani, hivyo adhabu mtatumikia kwa pamoja," Pia Jaji Luvanda amesema kielelezo namba 1 ambayo ni dawa za Kulevya kiteketezwe, kielelezo namba 5 ambalo ni gari aina ya Discover 4 Landrover kinataifishwa kuwa mali ya Serikali.

Shamim Mwasha na mume wake walivyopanda mahakamani kesi ya Dawa za Kulevya

5591
18
8
00:01:33
27.05.2019

Wakili wa Serikali, Wankyo Saimon mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Mfawidhi wa Mahakama hiyo,  Kelvin Mhina alidai kuwa kesi hiyo ilikuja kwaajili ya kutajwa ila upelelezi haujakamilika hivyo wanaomba tarehe nyingine ya kutajwa.

ILIPOFIKIA KESI YA SHAMIMU MWASHA NA MUMEWE, MAHAKAMA IMEAMUA HAYA LEO...

4143
12
0
00:03:15
27.03.2020

ILIPOFIKIA KESI YA SHAMIMU MWASHA NA MUMEWE, MAHAKAMA IMEAMUA HAYA LEO... Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kuwasomea maelezo ya mashahidi na vielelezo mfanyabiashara, Abdul Nsembo (45) na mkewe, Shamim Mwasha(41) Aprili Mosi mwaka huu. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin Hydrochloride zenye uzito wa gramu 232.70 ambapo watasomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo . Akiieleza Mahakama Wakili wa Serikali, Wankyo Simon amedai mbele ya Hakimu Mkazi, Rashid Chaungu kuwa wamepewa taarifa kwamba maelezo ya mashahidi na vielelezo vimewasilishwa katika mahakama hiyo. Amedai Shauri lilikuja kwa ajili ya kutajwa na kwamba wamepata taarifa tayari maelezo ya mashahidi na vielelezo vimeshawasilishwa hivyo akaiomba mahakama ipange tarehe nyingine ya kuwasomea kwa kuwa Hakimu anayeendesha shauri hilo hakuwepo. Baada ya maelezo hayo Hakimu Chaungu ameahirisha shauri hilo hadi Aprili mosi mwaka huu. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255 676 229628) Email: globaltvbest🤍gmail.com abbymrisho🤍gmail.com HABARI MPYA DAILY: 🤍 HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 GLOBAL RADIO TV: 🤍 EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe 🤍 Category News & Politics

ILIPOFIKIA KESI YA SHAMIM MWASHA NA MUME WAKE MAHAKAMANI LEO..

6765
11
5
00:02:59
17.01.2020

ILIPOFIKIA KESI YA SHAMIM MWASHA NA MUME WAKE MAHAKAMANI LEO.. UPANDE wa mashtaka katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin Hydrochloride inayomkabili Mmiliki wa Blog 8020 Fashion, Shamim Mwasha (41) na Mumewe, Abdul Nsembo(45) umedai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika. Wakili wa Serikali, Ester Martin mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Godfrey Isaya alidai kuwa shauri hilo lilikuja kwa ajili ya kutajwa, hivyo anaomba tarehe nyingine. Washtakiwa hao wanatuhumiwa kwa shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya. Shamim na Mumewe wanatuhumiwa kusafirisha dawa hizo za kulevya, Mei 1,2019 wakiwa eneo la Mbezi Beach, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam kinyume na sheria ya uhujumu uchumi. GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) HABARI MPYA DAILY: 🤍 HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 GLOBAL RADIO TV: 🤍 EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍

KESI YA ABDUL NSEMBO NA MKEWE SHAMIMU YAENDELEA KUNGURUMA MAHAKAMANI YAPIGWA TAREHE HADI SEPTEMBA 4

2513
13
2
00:02:12
03.09.2020

Mfanyabiashara, Abdul Nsembo (45)na mkewe, Shamimu Mwasha(41), wakiingia katika Mahakama Kuu, Kitengo cha Uhujumu Uchumi na Makosa ya Rushwa, kwa ajili ya kusikiliza kesi yao. Shamimu anayemiliki Blog ya 8020 na mumewe Nsembo, maarufu Abdulkandinda, wanakabiliwa na mashtaka mawili ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya aina ya heroini gramu 439.70, tukio wanalodaiwa kulitenda, Mei Mosi 2019, eneo la Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Wakili wa Serikali, Costantine Kakula amedai leo, Septemba 3, 2020, mbele ya Jaji, Elinaza Luvanda, kuwa shauri hilo liliitwa mahakamani hapo kwa ajili ya washtakiwa kuanza kujitetea, baada ya mahakama hiyo kuwakuta na kesi ya kujibu Septemba mosi mwaka huu. Washtakiwa hao, walikutwa na kesi ya kujibu baada ya mahakama hiyo kupitia ushahidi wa mashahidi nane na vielelezo sita vilivyotolewa na upande wa maashtaka. Hata hivyo, leo mshtakiwa wa kwanza katika kesi hiyo, Nsembo amweshindwa kufungua CCTV Camera ilichukuliwa nyumbani kwa washtakiwa hao, siku waliyokamatwa. CCTV Camera hiyo imetolewa leo na upande wa mashtaka kwa ajili ya washtakiwa wao kuitumia katika utetezi wao. Nsembo amweshindwa kufungua CCTV hiyo kwa madai kuwa amesahau namba ya siri ya kifaa hicho, hali iliyopeleka mawakili watatu wanaowatetea washtakiwa hao, wakiongozwa na Juma Nassoro, kuiomba mahakama iwapatie kifaa hicho ili wakipeleke sehemu kilipotengenezewa kwa ajili ya kufunguliwa ili kitumike katika utetezi wao. Jaji Luvanda, baada ya kusikiliza maombi hayo, ameahirisha kesi hiyo hadi Septemba 4, atakapotoa uamuzi wa kuruhusu kifaa hicho wakabidhiwe upande wa utetezi kwa ajili ya kukipeleka sehemu kilipotengenezewa ili kikafunguliwe au laa.

KIBOKO NA MKEWE WAHUKUMIWA MIAKA 20 JELA "DAWA ZA KULEVYA"

31878
137
77
00:02:22
18.12.2020

Mfanyabiashara Ayubu Kiboko na mkewe Pilly Mohammed wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kukutwa na Dawa za Kulevya aina ya Heroin Hydrochloride. Wawili hao wamehukumiwa leo katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu kama Mahakama ya Mafisadi mbele ya Jaji Mfawidhi, Lilian Mashaka. "Nikizingatia mitigation na sheria za dawa za Kulevya na nikizingatia tangu mlipokamatwa May 23, 2018 na muda wote mlikuwa gerezani na tunafahamu Dawa za Kulevya zina athari, ninawahukumu kutumikia kifungo cha miaka 20 jela na kama hamjaridhika mna haki ya kukata rufaa," amesema Jaji Mashaka.

KESI YA SHAMIM, MUMEWE: CCTV CAMERA YAO KUCHAMBULIWA MAHAKAMANI "TUTAMLETA SEPT. 18"

20272
70
9
00:02:22
04.09.2020

Upande wa Utetezi katika kesi ya Dawa za Kulevya inayomkabili Mfanyabishara Abdul Nsembo na mkewe Shamim Mwasha umeieleza Mahakama Kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi na Rushwa 'Mahakama ya Mafisadi' watampeleka mtaalamu wa CCTV Camera mahakamani hapo. Hatua hiyo inatokana na maombi ya Upande wa Mashitaka ambao walitaka mtaalamu huyo afike ili aweze kuwasha CCTV Camara itumike kama kielelezo kwenye Utetezi wa watuhumiwa hao. Wakili wa Serikali, Constantine Kakula amemueleza Jaji Elinaza Luvanda kuwa wameshindwa kuwakabidhi Kifaa hicho watuhumiwa kama walivyoomba badala yake mtaalamu wa CCTV Camera ili atoe Password. Baada ya maelezo ya Upande na Mashtaka, Upande l wa Utetezi umedai kuwa hauna pingamizi hivyo watamapeleka Mtaalamu huyo September 18, 2020 ili aweze kueleza Mahakama hiyo kitu gani Kifanyike ili hiyo CCTV Camera ifunguke. Ikumbukwe kuwa Watuhumiwa walitakiwa kuanza Kujitetea Septemba 3, 2020 na moja kati ya kilelezo waliichomba kitumike katika utetezi huo ni CCTV Camera Iliyochukuliwa Nyumbani Kwao Siku waliyokamatwa. Washtakiwa wote wanakabiliwa na kosa la Kusafirisha Dawa za Kulevya zenye Uzito wa Gram 439.70 maeneo ya Mbezi Beach.

UAMUZI WA MAHAKAMA KUHUSU KESI YA SHAMIMU MWASHA NA MUMEWE / RAIS MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI

1112
7
1
00:07:31
02.09.2020

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa maarufu kama Mafisadi imesema kwamba mfanyabiashara Abdu Nsembo (45) na mke wake Shamimu Mwasha (41), wana kesi ya kujibu. Mgombea Urais wa Chama  cha  Mapinduzi (CCM)   Rais  Dkt. John Magufuli amesema SERIKALI imetumia Sh. Bilioni 470.4 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Singida.

September Favorites from Shamim Mwasha aka ZEZE

2408
11
7
00:07:30
27.10.2016

Na share my September favorite ambapo inakuwa ni mjumuisho wa vitu mbalimbali ambavyo nimenunua,nimetumia nikapenda,nimepewa kufanyia reviews etc. Travalo 🤍 beauty product 🤍 peterpancoller 🤍 hii nimependa sababu naweza ivaa juu ya top au a dress na ikakaa vizuri ,waweza hata kuvalia a necklace . peterpan coller african print 🤍 lofans shoes 🤍 Kanyaga twende za kisasa hizi ,hivi viatu ni perfect for dressing down or up yategemea tu waenda wapi shopping,brunch with the girls ,movies nude shoes 🤍 hizi nude ni a must have kwa kila mtu zinaendana na nguo nyingi sana flip flop 🤍 hizi nitavaa beach kwa zile vacations ,au hata nyumbani tu oriflame product #kizurikulanawenzio #beautyfinds Sana sana watu wazima wenzangu yes ukifika miaka 25+ hii inakuhusu #novageecollagen . . Kitaalum ufikapo miaka 25+ ngozi kama sio sura huanza kuchutama si maneno yangu ila ndo wataalum wanasema bali kutokana na maumbile pearls necklace :: 🤍 Denim Dress :: 🤍 Vest Blazer :: 🤍 co wash ::🤍 lavy nail ::🤍 jump rops/kipochi ::🤍 satincap:: 🤍 ZEZETV imedhaminiwa na VODACOM #HapaKasiTu 4G yenye kasi kubwa Tanzania. email ::shamyomy🤍yahoo.com call ::+255 784 418941 SOCIAL MEDIA TWITTER :: 🤍 INSTAGRAM :: 🤍 FACEBOOK (FUN PAGE ) :: 🤍 BLOG :: 🤍 SNAPCHAT :: ADD ::shamim8020

Shamim Mwasha & Abdul Nsembo Wedding Entrance (8020fashions blog)

5917
5
0
00:01:17
01.06.2013

Blogger's wedding...her grand entrance

MAPYA KESI YA SHAMIMU NA MUMEWE

2587
6
4
00:01:39
13.09.2019

Kesi ya Dawa za Kulevya inayomkabili mfanyabiashara, Abdul Nsembo na mkewe, Shamim Mwasha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inasubiri majibu ya Mkemia Mkuu wa Serikali ili ikamilike upelelezi. Hayo yamebainishwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo Simon mbele ya Hakimu Mfawidhi, Kelvin Mhina wakati kesi hiyo ilipotajwa. Wakili Wankyo ameeleza kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika na bado wanafuatilia majibu kwa Mkemia Mkuu wa Serikali, hivyo anaiomba mahakama hiyo kupanga tarehe nyingine. Baada ya kueleza hayo, Hakimu Mhina ameahirisha kesi hiyo hadi Septemba 27, 2019 kwa ajili ya kutajwa. Katika kesi ya msingi, washtakiwa hao wanakabiliwa na shtaka la kusafirisha gramu 232.70 za dawa za kulevya aina ya Heroin. Inadaiwa kuwa Mei Mosi, 2019 kwa pamoja washtakiwa hao wakiwa maeneo ya Mbezi Beach walisafirisha dawa za kulevya zenye uzito wa gramu 232.70 huku wakijua kufanya hivyo ni kosa kisheria.

KIFUNGO CHA MAISHA SHAMIMU MWASHA NA MUMEWE KWA KOSA LA MADAWA YA KULEVYA

245
1
0
00:03:01
31.03.2021

USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANELI YETU PENDWA YA KIKI TV ONLINE

SHAMIMU NA MUMEWE WATUPWA JELA MAISHA

6741
17
4
00:01:43
31.03.2021

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, maarufu Mahakama ya Mafisadi, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani, mfanyabiashara, Abdul Nsembo na mkewe Shamim Mwasha baada ya kukutwa na hatia ya makosa ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya aina ya Heroin. Pia, mahakama hiyo ya mafisadi, imetoa amri ya kutaifisha mali zao ikiwemo gari aina ya Discover 4 na iwe mali ya Serikali na kuagiza hizo kuteketezwa. Hukumu ya kesi, imetolewa leo Jumatano tarehe 31 Machi 2021, na Jaji Elinaza Luvanda baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili kati ya Jamhuri na utetezi na kujiridhisha watuhumiwa wamekutwa na hatia katika makosa mawili ya usafirishaji dawa za kulevya. 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402), 🔘WhatsApp ( +255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews🤍gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: 🤍

Назад
Что ищут прямо сейчас на
SHAMIMU MWASHA image slideshow роблокс оп как расстаться vermeil in gold episode 1 in hindi card crusher Police clearance challan form greek recipes Fifa 23 Ediciones de Reserva Demure naya sarso ka bhav бомж Vol. 3 Raza groove memeindonesia 365mc guia yelan MidJourney kiiicube eidisis